"Ndugu Wananchi, ukimwi hauchagui kabila, hauchagui dini, hauchagui rangj, hauchagui masikini wala tajjri, mzee au kijana. Hili ni janga linaemkuta yoyote yule asiepuka kuambukizwa na asietumia kinga. Iko haja ya sote, mmoja mmoja na kwa pamoja kuchukua hatua madhubuti kujinusuru wenyewe na kunusuru jamii yetu na vizazi vyetu vijavyo. Yapo matumaini kwamba pale jamii inapojizatiti na kuchukua hatua madhubuti, matokeo yamekuwa ya kutia moyo katika kudhibiti janga hili." - Dr. Salim, December 1, 2002
Maadhimisho ya Siku ya Ukimwi Duniani Kitaifa
MAADHIMISHO-YA-SIKU-YA-UKIMWI-DUNIANI-KITAIFA.pdf
4 MB