Speech
Hotuba ya Sherehe za Uzinduzi Wa Majengo ya Mapya ya Shule ya Mwalimu Julius Kambarage Nyerere
"Suala la elimu ya kujitegemea lina umuhimu wa pekee katika dunia ya leo. Lina maana ya kutilia mkazo elimu ya jumla yenye lengo la kupanua upeo wa kuelewa dunia kupitia maarifa tunayopata katika fani mbalimbali. Lakini vilevile elimu inayotilia mkazo sayansi na teknolpjia katika kuumba vitu na zana mbalimbali. Elimu ya kujitegemea kwa maana hiyo ni elimu inayotoa fursa ya mwingiliano wa nadharia na vitendo." - Dr. Salim, January 5, 2002
Hotuba ya Sherehe za Uzinduzi Wa Majengo ya Mapya ya Shule ya Mwalimu Julius Kambarage Nyerere
HOTUBA-YA-BALOZI-DR.-SALIM-AHMED-SALIM-WAKATI-WA-SHEREHE-ZA-UZINDUZI-WA-MAJENGO-MAPYA-YA-SHULE-YA-MWALIMU-TULIUS-KAMBARAGE-NYERERE.pdf
1 MB