Speech
Hotuba Wakati Maadhimisho ya Mwaka wa Amani na Usalama Barani Afrika
"Hivyo, leo ni siku muhimu na ya kihistoria katika bara letu la Afrika. Ni siku ambayo, kwa mara ya kwanza, bara lote la Afrika litakuwa na dakika moja ya amani. Ni kwa sababu hiyo, nchi yetu, Tanzania, ikiwa mojawapo ya Nchi Wanachama wa AU na nchi yenye amani, leo hii inaungana na nchi nyingine Wanachama wa AU katika kuadhimisha siku hii." - Dr. Salim, September 21, 2010
MAADHIMISHO YA MWAKA WA AMANI NA USALAMA BARANI AFRIKA
MAADHIMISHO-YA-MWAKA-WA-AMANI-NA-USALAMA-BARANI-AFRIKA.pdf
3 MB