Skip to content
Speech

Hotuba Katika Uzinduzi wa Jumuiya Ya Afrika Mashariki

  • Share

"Kwa wananchi na viongozi wa Afrika ya Mashariki, kuasisiwa upya kwa Jumuia ambayo itadumisha na kuimarisha ushirikiano na mshikamano ni hatua kubwa katika uhai wa mataifa matatu haya ya eneo hili la bara letu. Tukio hili la kusheherekewa na ku].ivunia linatoa matumaini makubwa katika maisha ya watu wetu katika nyanja mbali mbali. Hususan, uwezo wa nchi zetu hizi tatu wa kupeleka mbele gurudumu la maendeleo na kupiga vita umasikini na unyonge utaongezeka kwa kiwango kikubwa. Ushirikiano huu pia utaimarisha uelewano, utulivu na amani katika Afrika ya Mashariki." - Dr. Salim, January 15, 2001

Inauguration-of-the-East-African-Community-Speech-prepared-and-delivered-in-Swahili.pdf

Inauguration of the East African Community (Speech prepared and delivered in Swahili)

Inauguration-of-the-East-African-Community-Speech-prepared-and-delivered-in-Swahili.pdf
2 MB
Go to external page: Download