Speech
Hotuba Katika Kilele Cha Maadhimisho Ya Siku Ya Mtoto Wa Afrika
"Ni matumaini yangu kuwa kilele cha maadhimisho ya Siku ya Mtoto wa Afrika kitakuwa mwanzo wa kujenga upya misingi ya kijamii itakayotupa fursa ya kutoa malezi bora ya watoto wetu kuanzia tumboni mwa mama, utotoni, hadi kufikia umri wa kujitegemea kwani malezi hayo ndiyo msingi wa maisha endelevu ya taifa letu." - Dr. Salim, June 16, 2003
Hotuba ya Mgeni Rasmi kwenye Kilele cha Maadhimisho ya Siku ya Mtoto wa Afrika
Hotuba-ya-Mgeni-Rasmi-kwenye-Kilele-cha-Maadhimisho-ya-Siku-ya-Mtoto-wa-Afrika.pdf
5 MB