"Amani na Umoja ndani ya nchi yetu na katika bara letu ndiyo mradi mkubwa sana wa Taasisi hii. Kushirikiana na Watanzania, Serikali zao, Taasisi zao za kiraia za aina zote, ni moja ya mbinu ya utendaji wa Taasisi. Kuandaa na kuwezesha mazungumzo ya mara kwa mara baina ya watu, miongoni mwa watu, na kati ya watu na vyombo vyao vya utawala, ili kujenga uwezo wa kushughulikia matatizo yao ni moja ya kazi za Taasisi ya Mwalimu Nyerere." - Dr. Salim, December, 2002
Fundraising Event - Diamond Jubilee
FUNDRAISING-DIAMOND-JUBILEE-2002.pdf
2 MB