"Ni wajibu wa viongozi wa dini mbalimbali, pamoja na kukuza imani kwa waumini, pia kuimarisha amani ndani ya jamii kwa kusisitiza maadili mema, mshikamano, ushirikiano wa mawazo na vitendo, njia za kukabiliana na dhuluma ndani ya jamii, ulinzi na utetezi wa haki za wanyonge, usimamizi wa mfumo mzuri wa demokrasia shirikishi na utawala bora." - Dr. Salim, August 8, 2003
"Amani Katika Bara la Afrika" Mada iliyotolewa katika Kongamano la Dini Mbalimbali kuhusu Amani, Ushirikiano Maendeleo na Maelewano katika Jamii
22Amani-Katika-Bara-la-Afrika22-Mada-iliyotolewa-katika-Kongamano-la-Dini-Mbalimbali-kuhusu-Amani-Ushirikiano-Maendeleo-na-Maelewano-katika-Jamii.pdf
4 MB